Plot for sale at Kilimani, Dodoma

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 150,000,000

Description

KIWANJA KINAUZWA KILIMANI
#unguja #zanzibar

Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka barabarani Mita 350

Umbali kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach Mita 200

Ukubwa wa kiwanja Mita 29x25

Bei Tsh 150,000,000/- Milioni mia na hamsini

NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za Kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki Kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka Kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 200

What’s App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake