Plot for sale in Kibada, Dar Es Salaam sqm 1000

Plot Size
1000 SQM
Amenities
Description
📍 KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA – KIGAMBONI KIBADA, DAR ES SALAAM
🔥 Kiwanja kizuri sana kinauzwa eneo la kishua na mtaa mzuri sana wa Kibada, Kigamboni.
✅ Ukubwa: Sqm 1,000+
✅ Kina fence pande mbili
✅ Eneo linafikika kwa urahisi
✅ Mazingira tulivu na salama sana
💼 Kinafaa kwa:
🏠 Makazi ya kifahari
🏢 Apartment
🏨 Lodge au Hotel
🏪 Biashara mbalimbali
🌴 Dream house yenye swimming pool, garden na parking kubwa
📌 Eneo ni zuri kwa uwekezaji wa muda mfupi na mrefu kutokana na maendeleo makubwa ya Kigamboni.
💰 Bei: TZS Milioni 120 tu
💵 Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit
📞 Call/WhatsApp: +255746407197
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni dreamhouse viwanjavinauzwa dar es salaam















