Search

Plot for sale in Kiluvya, Pwani sqm 486

Kiluvya, Pwani
1 hour ago
Sh. 35,000,000

Plot Size

486 SQM

Amenities

Near Paved Road
Near Road

Description

πŸ”₯ KIWANJA KINAUZWA – FURSA YA KIPEKEE!

πŸ’° Bei: TSh Milioni 35 Tu!

πŸ“ Ukubwa: SQM 486

πŸ“ Sifa za Kiwanja:
βœ… Kipo jirani kabisa na barabara ya lami.
βœ… Kipo katika mtaa mzuri uliojengeka na wenye maendeleo.
βœ… Kinapatikana kwa urahisi wakati wote bila changamoto.
βœ… Kinafaa kwa kujenga nyumba ya makazi, apartments, au mradi mwingine wa uwekezaji.
βœ… Kipo katika neighbourhood tulivu na salama, inayofaa kwa makazi binafsi au uwekezaji wa muda mrefu.

πŸ“„ Umiliki: Sales Agreement

πŸ“ˆ Hii ni fursa adimu ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi. Miliki Kesho Yako Leo!!!

πŸ’Ό Gharama ya Huduma (Service Charge): TSh 30,000/=

πŸ“ž Wasiliana Nasi: 0716 501815