Plot for sale in Kisemvule, Pwani

Description
Ogopa wanawake wenye majukumu…. Akiwa ana jambo lake lazima alifanikishe…
Mama anahamia kwenye nyumba yake, kasema anaingia atamalizia akiwa ndani….
Kiwanja hapa bei inaanzia Tsh 1,600,000
Kisemvule, mbele ya mbagala,
0785367831 call/ whatsapp















