Plot for sale in Madale Msumi, Dar Es Salaam sqm 900

Plot Size
900 SQM
Amenities
Description
🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE NJIA YA MSUMI "MAARUFU MSUMI 'C'
📍 Location: Madale Msumi ,takribani dakika 8 kwa MIGUU kutoka kituoni
Kipo njia ya pioneers primary school
âś… Ukubwa: SQM 900
âś… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi binafsi
âś… Pia kinafaa kwa ujenzi wa apartments (nyumba za biashara)
âś… Eneo ni zuri, limeendelea na linaendelea kukua kwa kasi
âś… Barabara imewekwa lami sehemu kubwa bado meter chache tu
đź’° Bei: TSh Milioni 31
đź“„ Nyaraka: Sales Agreement
Usikose nafasi hii ya kuwekeza katika eneo lenye maendeleo na mahitaji makubwa ya makazi.
📞 Wasiliana: +255 (0) 654 101 710 / +255 (0) 787 205 300
đź’° Service Charge: TSh 30,000/=
Karibu ndugu mteja, tufanye biashara.
Dalali Amani Kimara– Miliki Kesho Yako Leo!!!#















