Plot for sale in Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam





Sh. 1,100,000,000
Type
Residential/Commercial Plot
Plot Size
1010 SQM
Installment
Available
Amenities
Description
-Viwanja viwili vinauzwa kwa pamoja
-Vipo 300m tu kutoka barabara kuu. Viwanja vyote viwili vina jumla ya 1010m² na vina fence pamoja na gate.
-Kuna huduma zote muhimu kama maji, umeme, barabara, shule na hospitali. Nzuri kwa makazi na uwekezaji.
-Viwanja vina hati, na bei ni ya maelewano km utahitaji kulipa kidogokidogo
-Wasiliana nasi: 0639452845 kwa viewing na maelezo zaidi.
-It is an exclusive opportunity for investors but also suitable for luxury residential development!


