Plot for sale in Ntyuka, Dodoma sqm 4073

Plot Size
4073 SQM
Amenities
Description
🔥 KIWANJA CHA KWANZA TOKA LAMI – NTYUKA, DODOMA 🔥
📍 Umbali: Km 8 tu kutoka Dodoma Mjini
📐 Ukubwa: Sqm 4,073
💰 Bei: Tsh 165,000,000
📄 Document: HATI
✅ Eneo linafaa kwa:
• Uwekezaji wa muda mrefu
• Ujenzi wa sheli, hospitali au apartments
• Biashara au makazi ya kisasa
🚧 Faida:
✔ Kipo karibu kabisa na barabara ya lami
✔ Maendeleo yanaongezeka kwa kasi eneo hili
✔ Thamani ya eneo inaendelea kupanda kila siku















