Search

Plot for sale in Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam sqm 650

video thumbnail
Sh. 80,000,000

Plot Size

650 SQM

Nearest Road

50m

Amenities

Description

🏑 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA CHAMA πŸ”₯

Fursa nzuri ya kumiliki kiwanja eneo la Tabata Segerea Chama, moja ya maeneo yanayoendelea kwa kasi jijini Dar es Salaam.

βœ… Umbali wa mita 50 tu kutoka barabara ya lami
βœ… Kiwanja cha nne kutoka barabarani
βœ… Kipo ndani ya fence
βœ… Eneo ni tambarare kabisa
βœ… Halijai maji wala halina changamoto za mafuriko
βœ… Barabara za kufika ni nzuri na rafiki mwaka mzima
βœ… Usafiri unapatikana kwa urahisi

πŸ“ Ukubwa: SQM 650
πŸ’° Bei: Milioni 80 tu

Eneo hili linafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi au uwekezaji wa muda mrefu kutokana na maendeleo yanayoendelea katika maeneo ya Tabata na Segerea.

Service charge / Gharama ya huduma: 30,000/=.

πŸ“ž Muhitaji piga: +255688412890