Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

Installment

Available

Description

MRADI WA VIWANJA โ€“ KIMBIJI PUNA, KIGAMBONI ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Fursa ya kumiliki kiwanja chenye hati kwa bei nafuu!

FAIDA ZA MRADI

โœ… Umbali wa 30KM kutoka Ferry
โœ… Viwanja vimepimwa (Survey Approval)
โœ… Ukubwa wa viwanja kuanzia 382sqm hadi 999.1sqm
โœ… Barabara za kuingia kwenye site ni nzuri na zinapitika mwaka mzima
โœ… Huduma muhimu za kijamii zinapatikana karibu
โ€” Umeme
โ€” Maji
โ€” Shule
โ€” Hospitali na huduma nyingine muhimu

BEI NA MFUMO WA MALIPO

๐Ÿ’Ž Cash: Tsh 9,500/= kwa sqm
๐Ÿ’Ž Malipo kwa Awamu: Tsh 12,000/= kwa sqm
โ€” Muda wa kulipa: hadi miezi 18
โ€” Malipo ya kuanzia: Tsh 500,000/= (Unaweza kuweka zaidi ya hapo ikiwa utahitaji)

MAHALI TULIPO

๐Ÿ“ Mwenge โ€“ Bamaga, Dora Tower, Ghorofa ya 4

Wasiliana Nasi

๐Ÿ“ž 0768 579 000
๐Ÿ“ž 0626 783 900
(WhatsApp na Simu zinapatikana)