Plots for sale in Mbezi Luguruni, Dar Es Salaam

Amenities
Description
MRADI NZURI SANA WA VIWANJA ULIOPO KARIBU NA MOROGORO ROAD UNAUZWA HAPA MBEZI LUGURUNI ILIPO MANISPAA YA UBUNGO UPANDE WA LAPAZ
Vilikua Viwanja tisa vimeondoka viwili vimebaki vichache watu wanavichangamkia
Changamkia fursa ndugu mteja
Barabara inafikika vizuri kabisa
Kwa wale waliokua wanataka Viwanja karibu na barabara hivi hapa sasa
Kuna SQMT 679,514,539,478,688,504,405, na 739
Bei ni Mil 35 vya mwanzoni juu na Mil 25 na 15 vya pembeni kidogo
Service charge 50,000 ya kupelekwa kwenye Viwanja na kutafutiwa mpaka upate na inalipwa mara moja tu
Contact:
+255 (0) 654 101710
+255 (0) 787 205300















