Residential Plot for Sale in Buhongwa, Mwanza (2052 sqm)

Buhongwa, Nyamagana, Mwanza
4 days ago
Sh. 60,000,000
Type
Residential Plot
Plot Size
2052 SQM
Amenities
Surveyed Land
Description
KIWANJA KINAUZWA BUHONGWA
-kipo mtaa wa musabe
-ukubwa wa kiwanja ni 54x38
-eneo limepimwa tayari
-bei Tsh Milioni 60
-maongezi yapo
-matumizi ya kiwanja ni makazi
-kiwanja kipo eneo zuri kwa kuishi
☎️ Wasiliana Nasi 0743 220097
