Search

Residential Plot for Sale in Buhongwa, Mwanza

video thumbnail
Buhongwa, Mwanza
2 months ago
Sh. 45,000,000

Description

Kiwanja kina hatimiliki kabisaa..
Kiwanja kipo buhongwa furahaa maseti shell
Kiwanja kipo mita Mia tano kutoka lami (pale shell ya maseti)
Kinauzwa milioni 45 cash pesa faster
(Muhusika kabananika hile mbaya.. mikopo sio poaπŸ«£πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ)
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711