Residential Plot for Sale in Goba Center, Dar Es Salaam (350 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
52 minutes ago
Sh. 33,000,000
Amenities
Description
Karibu sana ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mtaa mzuri sana pia corner plot
✨Ukubwa wa kiwanja: sqmt 350
✨Location: Goba center
✨Bei : Million 33 (maongezi yapo kidogo)
✨Umiliki: Mmoja
✨Documents: Serikali ya mtaa
✨Umbali kutoka lami: Kilometer 1
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:















