Residential Plot for Sale in Madale Mivumoni, Dar Es Salaam (1120 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
1120 SQM
Amenities
Description
🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI 🏡
📍 Kipo Madale Mivumoni, chapili kutoka barabara ya lami.
📐 Ukubwa: SQM 1,120
💰 Bei: Milioni 180 hiyo bei yakuuza
✅ Kinafaa kujenga nyumba ya kuishi mwenyewe
✅ Kinafaa kwa uwekezaji wa apartments 🏢
✅ Eneo linaendelea kukua kwa kasi 📈
🔥 Wahi usikose fursa hii ya kipekee!
🚗 Kwenda kuona kiwanja: TSH 50,000
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
Uwekezaji Apartments DalaliWaUhakika 🏘️✨
#0689138795whatsapp
#0758998074👈















