Search

Residential Plot for Sale in Makongo Mtipesa, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 95,000,000

Amenities

Near Paved Road
Near Road

Description

Karibu sana ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kikali mnoo kuna nyumba ya vyumba vinne pazuri sana panafaa kujenga nyumba ya ndoto zako au kuwekeza apartments

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 650

✨Location: Makongo Mtipesa

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 95 (maongezi yapo kidgo)

✨Umbali kutoka lami 1km

✨Umiliki: Mke na mume

✨Documents:Serikali ya mtaa

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

DALALI_CUTE_LADY_MAINA_MAKONGO, GOBA, MADALE--0622604390

dalali_cute_lady_maina_makongo

@dalali_cute_lady_maina_makongo

View Listings

Similar properties in Makongo, Dar Es Salaam

DALALI_CUTE_LADY_MAINA_MAKONGO, GOBA, MADALE--0622604390