Residential Plot for Sale in Malamba Mawili, Dar Es Salaam (700 sqm)

Malamba Mawili, Dar es Salaam
27 days ago
Sh. 48,000,000
Amenities
Title Deed
Near Paved Road
Description
π‘ KIWANJA KINAUZWA MALAMBA MAWILI- FURSA YA KIPEKEE! π‘
Kiwanja kizuri kinauzwa katika eneo zuri na linalokua kwa kasi.
π Ukubwa: Square mita 700
π° Bei: Milioni 48
π Kipo karibu na barabara ya lami, takribani dakika 2 tu kufika, na panafikika bila shida wakati wote.
β¨ Matumizi yanayofaa:
- Makazi binafsi
- Uwekezaji wa apartments
- Guest lodge / lodge
- Miradi mingine ya biashara
π Kinauzwa na mmiliki halali, na kina nyaraka za Sales Agreement.
π₯ Fursa nzuri kwa mwenye maono ya kuwekeza eneo la hadhi na karibu na maendeleo.
π +255688412890
Service charge 30,000/=.
Karibu tajiri, usikose nafasi hii!
