Residential Plot for Sale in Mkundi, Morogoro (1741 sqm)

Amenities
Description
kiwanja hiki kimepimwa katika viwanja vya low density,
kina sqm 1741
maji tayari yameingizwa kwenye kiwanja, ukinunua unajenga Kwa maji Yako.
kipo mkundi manispaa ya Morogoro, ni mita chache kutoka lami, MITA 800 ,
bei milion 25
0652644084








