Search

Residential Plot for Sale in Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam (1200 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 70,000,000

Description

Hapa kuna kiwanja kinauzwa bei milion 70, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 1200, eneo zuri sana na kiwanja cha 4 kutoka lami, document ni serikari ya mtaa, hapa unaweza jenga nyumba za apartment au makazi, n.k, ni maeneo ya tabata kinyerezi makofia dar es salaam

Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 50000

Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam