Search

Residential/Commercial Plot for Sale in Kikuyu South Extension, Dodoma (800 sqm)

 media -1
media -1
Kikuyu, Dodoma
2 hours ago
Sh. 57,000,000

Amenities

Fence
Electricity
Water Supply
Near Paved Road
Near Road
Barabara

Description

๐Ÿ“ข KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA โ€“ DODOMA ๐Ÿก

๐Ÿ“ Mahali: Kikuyu South Extension, Dodoma

๐Ÿ“ Ukubwa: SQM 800+

๐Ÿ’ฐ Bei: TSh Milioni 57 (Inajadilikana kidogo)

โœ”๏ธ Sifa za Kiwanja:

โœ… Kimezungushiwa fensi pande zote
โœ… Miundombinu yote muhimu ipo:

* ๐Ÿ›ฃ๏ธ Barabara
* ๐Ÿ’ก Umeme
* ๐Ÿšฐ Maji
โœ… Jirani kabisa na barabara ya lami
โœ… Kilomita 1 tu kutoka SGR Station
โœ… Kilomita 3.5 tu kutoka katikati ya mji wa Dodoma
โœ… Kinafaa kwa uwekezaji wa aina yoyote:
* Nyumba ya kuishi
* Apartment
* Lodge
* Ofisi
* Biashara mbalimbali

๐Ÿ“ž Mawasiliano:
0787 037 986
0757 037 986

๐Ÿ  Karibuni Bupalu Real Estate
โ€œTunakuunganisha na fursa bora za umiliki wa nyumba na viwanja.โ€

Similar properties in Kikuyu, Dodoma