Residential/Commercial Plot for Sale in Tabata Bima, Dar Es Salaam (700 sqm)

video thumbnail
Sh. 195,000,000

Type

Residential/Commercial Plot

Plot Size

700 SQM

Amenities

Security Wall
Near Paved Road
Near City Center

Description

🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA BIMA 🔥

Kiwanja kizuri kinauzwa kipo Tabata Bima, eneo linalokua kwa kasi na lenye fursa nyingi za uwekezaji.

📍 Sifa za kiwanja:
✔️ Ukubwa: SQM 700 (70x10 au 35x20 approx)
✔️ Kimezungushiwa ukuta pande tatu
✔️ Ni tambarare kabisa – tayari kwa ujenzi
✔️ Kipo karibu na barabara ya lami
✔️ Eneo lipo karibu na mji na lina shughuli nyingi (panachangamka)

💡 Matumizi yake:
✅ Uwekezaji wa apartments (vyumba vya kupanga)
✅ Kujenga guest house / hoteli
✅ Frame za biashara (maduka)
✅ Bar / biashara mbalimbali
✅ Au makazi binafsi ya kisasa

💰 Bei: Milioni 195 (Mazungumzo yapo)

📞 Wahi sasa!
Piga: +255 688 412 890

🧾 Service charge: 30,000/=