Search

Retail Space for Rent in Mwenge, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000/month

Description

๐Ÿ”ฅ FREM KUBWA INAPANGISHWA โ€“ MWENGE ๐Ÿ”ฅ

Unatafuta sehemu nzuri ya kuanzisha au kupanua biashara yako? Hii hapa opportunity ya uhakika! โœจ

๐Ÿ“ Frem kubwa ipo Mwenge kwenye mtaa mzuri sana wenye pilika nyingi za biashara
โœ… Eneo limechangamka sana kwa biashara
โœ… Inafaa kwa biashara yoyote
โœ… Space kubwa na mazingira mazuri ya kazi
โœ… Panafikika kwa urahisi muda wowote

๐Ÿ’ฐ Bei: 350,000/= kwa mwezi
๐Ÿ›Ž Service Charge: 30,000/=

๐Ÿ“ž Call: 0787093748