Retails Space for Rent in Mwenge ITV, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 400,000 per month

Type

Retails Space

Description

🔥 FREM INAPANGISHWA – MWENGE ITV 🔥
Unatafuta sehemu ya biashara iliyo kwenye location ya nguvu? Usikose hii!

📍 Ipo Mwenge ITV – eneo lenye mzunguko mkubwa wa watu na biashara kuchangamka
🏢 Frem nzuri sana ipo sehemu bora kabisa kwa biashara yoyote
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi

✅ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✅ Eneo ni la uhakika kwa kupata wateja kirahisi

📞 Call: 0787093748 haraka kabla haijachukuliwa!