Farm for Sale in Sungwi, Masaki, Kisarawe, Pwani (30 acre)

Kisarawe, Pwani
8 days ago
Sh. 300,000,000
Amenities
Description
SHAMBA LENYE HATI EKARI 30,TZS.300 MILIONI,SUNGWI,MASAKI,KISARAWE.
Ni umbali wa jumla wa kilomita 60 kutoka Dar mijini.
Kisarawe-Mijini hadi Shamba ni kikomita 27.
Na kilomita 3 tu kutoka Barabara/LANI inayoelekea MSANGA.
Ardhi nzuri tambarare yenye rutuba.
Shughuli unazoweza kufanya hapa ni pamoja na;
Kilimo, Ufugaji, Kiwanda,Shule nk.
Ndani yake kuna miti ya kudumu iliyokomaa kama Miembe,Michikichi, Minazi na,Mikorosho.
UMILIKI NI HATI (Title Deed) ya Wizara.
VIZURI HAVIKAI. WAHI.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________zw

