Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam
Description
š SINZA ā FREM KUBWA INAPANGISHWA š
Fursa nzuri ya biashara Sinza!
Frem kubwa sana inapangishwa kwa bei ya Tsh 2,500,000/= tu kwa mwezi. Ipo eneo zuri sana la biashara lenye movements za kutosha na mazingira mazuri kwa wateja.
ā
Inafaa biashara yoyote
ā
Duka la nguo
ā
Saloon ya kiume au ya kike
ā
Duka la simu na biashara nyingine nyingi
ā
Eneo la biashara lililochangamka
ā
Service Charge: 30,000/= tu
š Call/WhatsApp:















