Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam
Amenities
Description
π’ FREM INAPANGISHWA β SINZA
Frem kubwa sana inapangishwa Sinza kwenye location kali na eneo zuri mno kwa biashara.
β
Frem kubwa na yenye muonekano mzuri
β
Ipo sehemu yenye shughuli nyingi za kibiashara
β
Inajitegemea umeme
β
Parking ya kutosha
β
Inafaa kwa biashara mbalimbali, ofisi, showroom na huduma nyingine
π° Bei: TSh 500,000/= kwa mwezi
π΅ Service Charge: TSh 30,000/=
π Call:
Wahi kuchukua nafasi hii ya kipekee kwa biashara yako kwenye moja ya maeneo bora ya Sinza.
#FremInapangishwa #Sinza #DarEsSalaam #Biashara #ShopForRent















