Search

Residential/Commercial Plots for Sale in Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 35,000,000

Description

Viwanja vizuri sanaa vikubwa mkeka kabisa akuna kuchimba hapo bei milioni 37 maongezi kwa milioni 35 maongezi mbio zako tu ndugu mteja

Viwanja vinaukubwa wa square 564 kwa 466 kwa 575 kwa 518 kwa 467 kwa 533

Viwanja vinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi or kanisa shule logg nk:

Viwanja vipo mbezi mwisho karbu na stend ya mkoa makufuly km 1.boda 1000

Viwanja vimepiwa vinadocomert za mauziano kutoka wizara ya ardhi na serikali za mtaa

Wahi ndugu mteja viwanja vya karbu na mjini havikai

KUPELEKWA KUONA VIWANJA ELF 30

CONTACT US:
0662715781
0790480030

Similar properties in Mbezi, Dar Es Salaam