Search

Residential Plots for Sale in Kibaha Kwa Mathias Msangani, Pwani

Kibaha, Pwani
2 months ago
Sh. 3,500,000

Description

🚨 HII NDIYO DEAL YA MWAKA – USIPITE KIMYA! 🚨

🏡 Viwanja vinauzwa kwa bei nafuu mno!

📍 Location: Kibaha kwa Mathias Msangani – Mtaa wa Madina, Mkoa wa Pwani.

✅ Eneo zuri na salama.
✅ Barabara nzuri, lami ipo.
✅ Shule ipo umbali wa takribani mita 500 tu. ✅ Umeme upo site.
✅ Maji yanapatikana kwenye nyumba za jirani. ✅ Huduma zote muhimu zinapatikana na eneo linafikika muda wote.

💥 Bei :
📐 SQM 400 – Tsh 3,500,000 tu
📐 SQM 250 – Tsh 2,500,000 tu

⚠️ Viwanja ni vichache sana, lakini wahitaji ni wengi! Ukichelewa leo, unaweza kukosa nafasi hii.

📲 Piga simu au tuma WhatsApp sasa: 0784919453

Fanya uamuzi leo... Kesho unaweza kukuta bei imebadilika! 🔥

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

#plot #plots #viwanja #instagram #home