Search

Plots for sale in Kigamboni Buyuni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 17,000/sqm

Nearest Road

1km

Installment

Available

Description

🌿🏑 KIGAMBONI BUYUNI β€” SEHEMU YA KUANZA KUJENGA NDOTO YAKO! ❀️✨

Unatafuta eneo lenye mazingira mazuri, utulivu na nafasi ya maendeleo? Basi usiiache Kigamboni Buyuni kwenye orodha yako. 😍

Hapa unaweza kuanza na hatua ndogo leo, lakini ukawa unajenga kitu kikubwa kwa ajili ya kesho. πŸ’š Ardhi ni uwekezaji unaoweza kukupa nafasi ya kujenga nyumba yako, kuanzisha miradi au kuhifadhi thamani ya fedha zako.

🌱 Mazingira mazuri
🏑 Eneo lenye utulivu
πŸ›£οΈ Fursa ya maendeleo
πŸ“‘ Viwanja vimepimwa na hati halali
πŸ’° Fursa nzuri ya uwekezaji

Usisubiri wengine wakuambie Buyuni ni pazuri… njoo ujionee mwenyewe! πŸ‘€β€οΈ

πŸ“ Mradi: Kigamboni Buyuni (Mti Mweupe)

πŸ“ Km 45 kutoka Ferry
πŸ–οΈ Km 2 kutoka Beach
πŸ›£οΈ Km 1 kutoka Main Road

πŸ’° Sqm 1 β€” Sh 17,000 Cash
πŸ’° Sqm 1 β€” Sh 19,000 Mkopo
πŸ“Œ Kianzio ni rejesho la mwezi
πŸ“† Malipo ya kidogo kidogo ndani ya miezi 24

✨ Leo ni kiwanja, kesho ni thamani.

πŸ“ž +255 748 303 601
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga ziara ya site.

#KigamboniBuyuni #MtiMweupe #ViwanjaKigamboni #ArdhiNiMali #WekezaKwenyeArdhi TrustSolution RealEstateTanzania