Warehouse/Godown for Rent in Kilimanjaro, Kilimanjaro





Sh. 600,000/month
Type
Warehouse
Plot Size
700 SQM
Amenities
Description
Kiwanja cha kukodisha pamoja na jumba , hil inaweza kubadilishwa kusa godouni au scheme ya biashara au scheme ya kuhifadhi mizigo, au kama unataka kufanya biashara unaweza ukafanya garage au scheme ya kufyatulia matofali pamoja na sehemu ya luzia mchanga au storage unit au ukafanya scheme ya ku park magari ya biashara au boda boda, bajaji n.k
