Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Malamba, Dar Es Salaam


Aina
Apartment
Vyumba
1
Sifa
Maelezo
#Repost dalali_tabata_kinyerezi_tz
Chumba master mpya inapangishwa bei 120000 kwa mwezi kodi kianzia mwezi 5 hadi 6, umeme unajitegemea meter yako mwenyewe, pia fence hipo, kutoka kituoni dakika 00-00 yani nyumba inatazama lami, Location mbezi malamba dar es salaam
Call/Whatsapp
0679 997610
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii



















