Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI 
<> location kisiwani 
<> nyumba Ina chumba kimoja master na jiko
✅nyumba mpya na safi
✅nyumba Ina parking 
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba iko barabarani 
✅nyumba mpya nzuri na safi
<> asking price 200k per month 
mwezi moja dalali
<> service charge 20k
<> malipo kuanzia miezi mitano 
🔳Mawasiliano 
✅0628505896
✅0763954837



















