Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(260,000 ร 6) ๐จ๐๐จ๐ก๐๐ข ๐ ๐๐๐ข๐๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐๐จ๐ช๐
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
Ukishuka kwenye Bajaji unatembea Dakika 4 kwa Miguu kutoka Barabara ya Rami inayotokea KOROGWE Kwenda EXTERNAL
Njia zote Barabara ni ๐ na Nyumba ni MPYA Zipo Hatua ya Mwisho
============
โข Chumba Kimoja Kikubwa Master
โข Sebule Kubwa
โข Jiko lake Kubwa la Kisasa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
Tsh. 260,000/- Malipo Miezi 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300