Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO NA PIKIPIKI KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA 
SIFA YA NYUMBA 
_________________
โจ๏ธNyumba hii ipo yenyewe tuu kwenye fensi yaani ipo peke yake kwenye fensi 
Ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom 
Sebule kubwa sana na 
jiko zuri ndani 
Hii nyumba NI mpya mpya 
Inajitegemea umeme NA maji 
Mazingira mazuri sana kwa watoto 
KODI YA PANGO 
________________
๐ฐKodi kwa mwezi ni laki tatu nanusu 
 (350,000)
  X 6 
Ira ina weza kupunguwa piya 
Boss ni mwelewa sanaa 
CALL 0625606710
CALL #0783794666
โโโโโโ



















