Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 3 NDANI FENCE MOJA NDIO IPO WAZI KODI 200,000X3
LOCTION KIMARA MWISHO DAKIKA 6-7 KUTEMBEA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANAAA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
NB: NAFAULISHA MTEJA WANGU PIGA CM HARAKA UWEZE KUONA NDANI NJE YA HAPO UTAISHIA NJE TU SIMU 0659336751 WSP 0786085637