Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA ZA NYUMBA
________________________
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na dnning room kubwa Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
____________________
kwa mwezi ni laki tano
(500,000X 7)
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI