Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki tatu nanusu tuu/=
(350,000)
X 3
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
#0710614924
#0688653940.