Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa KIMARA BARUTI km1 kutoka main road
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 300,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.