Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ MASTER BED ROOM NZURI INAPANGISHWA โ KIMARA KOROGWE
โโโโโ
๐ Kimara Korogwe
๐ Umbali kutoka stand ya mwendo kasi ni dakika 12โ15 kwa miguu, au boda boda Tsh 1,000 tu mpaka getini.
๐ก #SIFA ZA NYUMBA
๐น Chumba kimoja master
๐น Sehemu ya jiko
๐น Umeme sub-meter yake
๐น Maji yanflow ndani
๐น Fenced & packing kubwa
๐ Nyumba inapatikana kwa kuangaliwa muda wowote kuanzia sasa. Itakuwa tayari kuhamia kuanzia tarehe 01/12/2025. Malipo yanapokelewa, na booking inaruhusiwa.
GHARAMA
๐ถ Kodi: Tsh 130,000 ร 6 (miezi sita)
๐ถ Malipo ya dalali: Tsh 130,000
๐ถ Service charge: Tsh 15,000
_______________
#Piga_simu๐
O740747383
#.&Whatsapp๐
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja ๐



















