Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿JUMBA KUBWA SANA LINALO JITEGEMEA LENYEWE KWENYE FENCE YA WAYA INAPANGISHWA
Location: KIMARA SUKA
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours BODA 1000
KODI 350,000 × 6
✍️SEBULE KUBWA SANA
✍️DINNING ROOM
✍️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✍️CHUMBA KIMOJA MASTER INA MAKABATI YA NGUO
✍️VYOO VYA FAMILIA VIWILI VYA NDANI 🚻
✍️JIKO KUBWA LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
✍️STORE KUBWA
📌PIA INA ENEO KUBWA SANA KWA WAFUGAJI 🐓🐓 Au WALIMAJI
📌MAFUNDI WANAPIGA RANGI NYUMBA YOTE PAMOJA NA MAREKEBISHO MENGINE YOTE HUSUSANI MIFUMO YA MAJI NA KILA KITU
📌KILA CHUMBA KINA MAFENI
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS WALA DM UTACHELEWA KUJIBIWA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp