Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA INA PANGISHWA 
LOCATION: KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
UMBALI KM 1.2 
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA NA CHOO CHA PUBLIC PEKEAKO
KODI 180,000X6 
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710



















