Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(270,000 × 6) #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAAA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO_ZURI LENYE MAKABATI
#CHOO CHA NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI YAKO PIA
#AIR CONDITION SEBULENI (A/C)
#KODI NI TZS 270,000/= × 6
(Plus na Deposit ya 150,000/= inaambatana na kodi)
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA INA FENSI YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
#ANGALIZO ITAKUWA WAZI TAREHE 11/9/2025 ILA KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300