Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location mbezi luguruni km2
Kodi 180000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master Sebule Open kitchen
Umeme na Maji unajitegemea
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















