Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali mpya mpya kabisa
Location mbezi kibanda cha mkaa km 1 usafiri upo bajaji na boda
Kodi 130000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space kubwa
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128