Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


*Date Listed*18/09/2025(Nafaulisha)
-Chumba Kikali Cha Kibachela Kinapangishwa
- Mahali Kilipo:Sinza Madukani
-1 Bedroom Master
-Kitchen
-Umeme Unajitegemea
-Maji & Usafi Ni Bure
-Fenced
-Car Parking Space Available
-Paving Blocks
▪️Service Charge Ni 30,000/=(Payable Once)
▪️Bila Ya Kusahau Kodi Ya Mwezi Mmoja Wa@Dalali
◾️Price 325,000/=
◾️Term:6 Months