Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam




APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 150,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME WAKO
#PAKING SPACE KUBWA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347