Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA ZIPO AINA 3 TOFAUTI NDUGU MTEJA
LOCATION UBUNGO EXTRENAL DAKIKA 1 UMEFIKA
A: CHUMBA KIMOJA MASTER MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI UMEME LUKU YAKE
KODI 150,000X6
B: CHUMBA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI UMEME LUKU YAKE
KODI 250,000X6
C: VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER SEBULE PABLICK TOILET NDANI AINA JIKO NDANI YA FENCE PARKING SPACE IPO PEVING BLOCK ZINAWEKWA đźš«
KODI 350,000X6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347