Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: UBUNGO KIBANGU RIVERSIDE
Umbali wa Kilomita Moja Kutoka Main Road Riverside Boda 1000 Poa Unaweza Kutembea kwa Mguu Dakika 15
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
- Sebule Kubwa
- Chumba KIMOJA Cha Kulala Kikubwa
- Jiko Kubwa
- Public Toilet ya Wageni
Apartment Zipo 5 Kwenye Fensi Parking Ipo na Kila Apartment IInajitegemea Umeme LUKU na Maji Dawasa Yanaflow Ndani
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 TSh. 270,000/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni TSh. 10,000/- na Ukilipia Nyumba Malipo ya Dalali NI Mwezi Mmoja
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp & Call
0754 221168 WhatsApp & Call