Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Vikindu, Pwani


Nunua kiwanja MIL 2 jenga…hapa ni VIKINDU
Kwa wale ambao mnaiuliza kwa budget ya tsh 13m unaweza ukajenga nyumba ya ukubwa gani…
Haya chukua hii ramani, chumba kimoja masta, sebule na jiko..
Tajiri yangu kafanikisha haya yote kwenye kiwanja alichonunua Tsh mil 2 vikindu
Viwanja bado vipo
Piga 0785367831
Whatsapp 0769355987