Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei ::400,000Tsh Kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
Call /Whatsapp 0743456099