Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibaha, Pwani


APARTMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA
MAHALI KIBAHA MIEMBE SABA
UMBALI KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
#SIFA_ZA_NYUMBA
CHUMBA KIMOJA CHA KULALA AMBACHO NI MASTER BEDROOM
SEBULE ZURI
JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI
KODI 150000X3
☎️ #0757208653